Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lavalava, amekingwa kifua na mashabiki wake baada ya baadhi ya watu kuhoji uwezo wake wa kifedha wa kununua vitu vya gharama kubwa.
Mwanamuzuki wa Bongo Fleva, Lavalava, amekingwa kifua na mashabiki wake baada ya baadhi ya watu kuhoji uwezo wake wa kifedha wa kununua vitu vya gharama kubwa.
Hivi karibuni, msanii huyo ameendelea kuonyesha kuwa yupo vizuri kifedha baada ya kununua gari lake jipya la kifahari aina ya Jaguar.
Baadhi ya mashabiki walisema wanaohoji utajiri wa Lavalava wamekosea, wakidai kuwa wameathiriwa na ukweli kwamba msanii huyo amekuwa kimya kwa muda mrefu katika muziki, jambo lililowafanya baadhi ya watu kudhani mambo yake hayaendi vizuri.
© 2026 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED