Mkuu wa wilaya ya Musoma mkoani Mara, Juma Chikoka (wa pili kushoto), akishiriki katika kazi ya kufanya usafi, katika eneo la Machinjioni, Kata ya Rwamlimi, Manispaa ya Musoma, juzi, na kuwahimiza wananchi kutunza usafi wa mazingira, kwa ajili ya usalama
Picha: Mpigapicha Wetu